Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko iliyopo Mkoani Kigoma kupitia Kibali cha Ajira Mpya Kumb. Na.FA170/358/01/24 cha tarehe 25 Julai,2017 kilichotolewa na Katibu Mkuu - Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora anapenda kuwatangazia Wananchi wote wa Tanzania wenye sifa za kuajiriwa katika Utumishi wa Umma kuleta maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-
1.Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi III - Nafasi 1
2.Mtendaji wa Kijiji III - Nafasi 1
kwa maelezo zaidi soma tangazo lililoambatishwa.
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: 028-2820137
Simu ya Mkononi: 0762532323
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa