UTANGULIZI
Idara ya Utawala na Utumishi inajumuisha ngazi za Vijiji, Kata na Tarafa. Hadi sasa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko ina jumla ya Tarafa 3, kata 13 na vijiji 44.
MAJUKUMU YA IDARA
1. Kuratibu Mafunzo
2. Kuratibu Likizo
3. Upimaji Utendaji kazi wa wazi (OPRAS)
4. Mikopo ya Watumishi (1/3 ya Mshahara)
5. Kushughulikia malimbikizo ya Watumishi
6. Kuratibu Vikao vya Kisheria.
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: 028-2820137
Simu ya Mkononi: 0757470800
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa