• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA AKABIDHI VIFAA VYA MIFUGO KAKONKO

Imetumwa: January 24th, 2019

Balozi wa Norway nchini Tanzania Bi.Elizabeth Jacobsen amezindua vifaa vya mifugo kwa ajili ya kuhifadhi chanjo, kuisafirisha na kutoa mafunzo katika hafla iliyofanyika siku ya jumatatu Januari 23, 2019 katika ukumbi wa mikutano Wilayani Kakonko alipoanya ziara ya kikazi.

Balozi Jacobsen amekabidhi Jokofu moja, vibeba chanjo, chanjo dozi 70,000 na vitabu vya rejea ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa utekelezaji wa shughuli za mifugo Wilayani kakonko kupitia program inayoitwa Kigoma Joint Program ambayo inatekelezwa katika kata tatu Wilayani Kakonko ambazo ni Kakonko, Nyabibuye na Nyamtukuza.

Akikabidhi vifaa hivyo kwa uongozi wa Wilaya akiwemo Mkuu wa wilaya, Mkurugenzi Mtendaji na Mwenyekiti wa Halmashauri Balozi Elisabeth alisisitiza vifaa hivyo vifanye kazi iliyokusudiwa ili kupunguza magonjwa ya mifugo na kuinua kipato cha wafugaji.

Mafunzo kwa vitendo yatafanyika kwa maafisa ugani Januari 28 juu ya mbinu bora za ufugaji wa kuku na mifugo mingine, uthibiti wa magonjwa na uimarishaji wa kutoa taarifa za magonjwa.

Serikali ya Norway inafadhili program ya Kigoma Joint Program kupitia shirika la la chakula na kilimo la umoja wa mataifa (FAO) ambalo linaratibu utekelezaji wa mradi katika sekta ya kilimo na mifugo pamoja na Wizara ya mifugo kwa kuweka mikakati thabiti ya kuwasaidia wafugaji wadogo.

Afisa mifugo wa Wilaya ya Kakonko bwana Revelian Rushehela ameeleza kuwa Wilaya ya Kakonko ina jumla ya wafugaji 3186 ambapo kuna jumla ya ng’ombe wa kienyeji 25,518 na ng’ombe wa kisasa 53, kuku76,974 na kuna eneo la hekta 45,226.23 la kufugia linalopatikana katika Vijiji 44 vilivyopo Wilayani Kakonko.

Akitoa takwimu Afisa mifugo bwana Rushehela ameeleza kuwa, ‘Shirika la FAO limetoa mafunzo kwa vikundi 45 vyenye wakulima 998 juu ya mbinu bora za ufugaji na teknolojia pamoja na mbinu za kilimo kupitia mashamba darasa na kupatiwa pembejeo ikiwemo mbolea za kupandia 776, nambolea za kukuzia kilo 4330, mbegu za mahindi kilo 858, maharage 212 na Muhogo pingili 21,000.

Matangazo

  • Siku ya mazoezi kila Jumamosi ya pili ya Mwezi March 23, 2017
  • Ufunguzi wa mnada wa Kihomoka March 24, 2017
  • Ratiba ya Vikao na Mikutano kuanzia ngazi ya Kitongoji, kata na Kamati za madiwani na kamati za kisheria kwa mwaka wa fedha 2016/17 March 25, 2017
  • Ratiba ya Vikao vya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2018/2019 August 10, 2017
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ujenzi wa stendi ya kisasa Kakonko waanza kutekelezwa kwa gharama ya Tsh.2.1 bilioni kwa siku 365

    June 20, 2019
  • Hospitali ya Wilaya ya Kakonko yapokea msaada wa vifaa tiba na madawa ya Tsh.88,295,430/=

    May 02, 2019
  • BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA AKABIDHI VIFAA VYA MIFUGO KAKONKO

    January 24, 2019
  • MIRADI 3 YA MAJI YA BILIONI 1.5 KUTEKELEZWA NDANI YA MIEZI 6 KAKONKO

    June 08, 2018
  • Tazama zote

Video

Bajeti ya Tanzania yawasilishwa bungeni
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Pakua hati yako ya malipo ya mshahara Hapa "Utumishi Portal"
  • Tangazo la zabuni
  • Matokeo ya Mitihani ya baraza
  • Nafasi za kazi zinazotolewa na Sekretalieti ya Ajira
  • Taarifa kwa Umma zinazotolewa na "TAMISEMI"

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: 028-2820137

    Simu ya Mkononi: 0757470800

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa