1.0 UTANGULIZI
Idara imekuwa ikitekeleza kazi zake za kawaida na zile za msimu, kazi za msimu ni pamoja na uendeshaji wa mitihani ya kitaifa ya mitihani ya kidato cha Nne, na kidato cha Pili. Katika taarifa hii, zimetolewa taarifa za hatua za ujenzi wa maabara, takwimu za wanafunzi wa kidato cha nne na cha pili waliofanya mitihani yao mwaka huu hapa Kakonko.
1.1 TAARIFA YA HATUA ZA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI HADI 22/11/2016
Na.
|
SHULE
|
MAHITAJI
|
ZILIZOPO
|
UPUNGUFU
|
HATUA ZA UJENZI
|
||||
USAFI
|
UPAUAJI
|
LENTA
|
UKUTA
|
MSINGI
|
|||||
1
|
KASANDA
|
3
|
2
|
1
|
1
|
-
|
-
|
-
|
-
|
2
|
BUYUNGU
|
3
|
3
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
3
|
KAKONKO
|
3
|
1
|
2
|
2
|
-
|
-
|
-
|
-
|
4
|
KANYONZA
|
3
|
1
|
2
|
2
|
-
|
-
|
-
|
-
|
5
|
SHUHUDIA
|
3
|
0
|
3
|
3
|
-
|
-
|
-
|
-
|
6
|
MUHANGE
|
3
|
2
|
1
|
1
|
-
|
-
|
-
|
-
|
7
|
NYAMTUKUZA
|
3
|
0
|
3
|
3
|
-
|
-
|
-
|
-
|
8
|
KASHOZA
|
3
|
0
|
3
|
3
|
-
|
-
|
-
|
-
|
9
|
RUGENGE
|
3
|
0
|
3
|
3
|
-
|
-
|
-
|
-
|
10
|
GWANUMPU
|
3
|
0
|
3
|
3
|
-
|
-
|
-
|
-
|
11
|
MUGUNZU
|
3
|
0
|
3
|
3
|
-
|
-
|
-
|
-
|
|
JUMLA
|
33
|
9
|
24
|
24
|
-
|
-
|
-
|
-
|
Mitihani ya Kidato cha nne na cha pili, imefanyika mwezi Novemba, 2016.
Maandalizi yake ya awali yalianza mwezi Septemba na tukapokea mitihani ya kidato cha nne mwishoni mwa mwezi Oktoba, 2016, mitihani ya Kidato cha Pili tulipokea tarehe 10/11/2016.
WALIOANDIKISHWA KI,2013
|
WALIOSAJILIWA MTIHANI CSEE,2016
|
WALIOFANYA MTIHANI CSEE, 2016
|
%
|
||||||
WAV
|
WAS
|
JUMLA
|
WAV
|
WAS
|
JUMLA
|
WAV
|
WAS
|
JUMLA
|
|
698
|
446
|
1144
|
477
|
336
|
813
|
476
|
334
|
810
|
99.9
|
WLIOANDIKISHWA KI,2015
|
WALIOSAJILIWA MTIHANI FTEE,2016
|
WALIOFANYA MTIHANI FTEE, 2016
|
%
|
||||||
WAV
|
WAS
|
JUMLA
|
WAV
|
WAS
|
JUMLA
|
WAV
|
WAS
|
JUMLA
|
|
662
|
427
|
1089
|
611
|
435
|
1046
|
580
|
431
|
1011
|
95.5
|
Mithani yote imefanyika na kukamilika vizuri.
Idara ilichukua hatua za kuwafundisha wakuu wa shule namna ya kujaza fomu za kuwapima utendaji kazi watumishi kwa mfumo wa wazi (OPRAS). Baada ya mafunzo hayo Idara ilifuatilia utekelezaji wa ujazaji wa fomu hizo. Hadi Desemba 31, 2016 walimu wote walikuwa wamewasilisha fomu zao hapa Idarani kwa hatua zingine.
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: 028-2820137
Simu ya Mkononi: 0757470800
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa