Sunday 6th, October 2024
@Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri
Mkutano Maalum wa Baraza la Madiwani utafanyika tarehe 13/06/2022 kupitia taarifa za CAG za mwaka 2020/2021 tarehe 13/06/2022 saa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri. Wananchi wote mnakaribishwa.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa