Sunday 6th, October 2024
@UKUMBI WA MIKUTANO WA HALMASHAURI
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO NDAKI STEPHANO MHULI ANAWAALIKA WANANCHI WOTE KUHUDHURIA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI KUPITIA HOJA NA MAPENDEKEZO YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) PAMOJA NA MAAGIZO YA LAAC KWA HESABU ZA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022.
MKUTANO HUO UTAFANYIKA SIKU YA JUMATANO TAREHE 14 JUNI, 2023 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA HALMASHAURI KUANZIA SAA 2:30 ASUBUHI HADI SAA 6:00 MCHANA. MGENI RASMI ATAKUWA MKUU WA MKOA WA KIGOMA THOBIAS ANDENGENYE. NYOTE MNAKARIBISHWA.
(Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye aliyevaa kofia akiwa na Katibu Tawala Mkoa (wa kwanza kushoto) na Viongozi wa Wilaya ya Kakonko alipofanya ziara Wilayani Kakonko)
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa