Saturday 5th, October 2024
@KAKONKO
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kupitia kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb.Na.FA.170/358/01"C"/146 cha tarehe 16 Januari, 2023 kilichotolewa na Katibu Mkuu- Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishin wa Umma na Utawala Bora, anapenda kuwatangazia Wananchi wote wa Tanzania wenye sifa za kuajiriwa katika Utumishi wa Umma kutuma maombi ya kazi kwa nafasi 1 ya Mtendaji wa Kijiji II. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 17.04.2023 saa 9:30 Alasiri.Kwa maelezo zaidi fungua tangazo hapa chini.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa