Sunday 6th, October 2024
@KAKONKO MJINI
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Evance Mallasa anawakaribisha Wananchi wote kushiriki zoezi la upandaji miti katika Barabara kuu ya Kakonko siku ya kesho Ijumaa tarehe 25 Novemba, 2022 kuanzia saa 1:30 asubuhi. Watumishi wote wa Makao makuu watakutana katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya kuanza zoezi hilo. Wananchi wote tunawakaribisha kushiriki zoezi hilo bila kukosa.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa