• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

WASICHANA WANAOPATA UJAUZITO KATIKA UMRI MDOGO NA KUWA WA MAMA WANA HAKI YA KUPATA HUDUMA ZA AFYA IKIWEMO UZAZI WA MPANGO KWA UTU NA KUHESHIMIWA.

Imetumwa: May 11th, 2024

Kuelekea maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani tarehe 12 Mei, 2024 Shirika la TADEYO (Tanzania Development Youth Organization) kutoka Wilayani Kakonko kwa kushirikiana na Salama Foundation wamefanya mafunzo Siku ya Ijumaa Mei 10, 2024 kwa wauguzi na wakunga kuhusu akina mama wadogo yaani wanawake wanaopata mimba katika  umri mdogo.

George Ngasa, Mratibu wa huduma za Afya ya uzazi  na mtoto Wilaya ameeleza kuwa wamekuwa na mafunzo kuhusu wazazi vijana/wadogo kuanzia miaka 14-24 yakiwalenga watoa huduma za afya ya uzazi kutoka kliniki ya baba, mama na mtoto, wodi za wazazi pamoja na matabibu kutoka kituo cha Afya ya Kakonko na hospitali ya Wilaya.

Lengo la mafunzo hayo ni kuboresha huduma kwa wamama wadogo na kuwahudumia katika hali ya utu ili wajisikie vizuri badala ya kusikia kuhukumiwa.  

Mratibu ameeleza changamoto kubwa ni upungufu wa watoa huduma katika maeneo ya kazi hivyo watoa huduma kufanya kazi nyingi na kuomba wadau kuongeza watoa huduma wenye ujuzi badala ya kujikita kutoa msaada wa wahuduma wa afya ngazi ya jamii.

Uwezo Ibrahim, muuguzi mfawidhi hospitali ya wilaya ya Kakonko ameeleza kuwa amejifunza kuwa wa mama wadogo wanastahili kupata huduma za afya ya uzazi hususani kipengele cha uzazi wa mpango bila ya ubaguzi.

Odes Sylivester Kiicha mtoa huduma kituo cha afya Kakonko ameeleza kuwa amjifunza mambo mengi ikiwemo uzazi salama kwa wamama wadogo ameongeza kuwa wazazi wengi  hawapendi suala la uzazi salama kwa Vijana wadogo wanaopata mimba hivyo elimu inatakiwa kuendelea kutoalewa kwa jamii.

Stephen Bikoko Mkurugenzi wa taasisi ya TADEYO, ameeleza kuwa wameandaa mafunzo hayo kwa lengo la kuwajengea uwezo manesi na wauguzi ili kuwahudumia vizuri akina mama vijana. Ameeleza malengo ya taasisi ni kuhakikisha watoto wa kike wanafikia ndoto zake na jamii kubadilika ili kuleta matokeo chanya.

Jekoba Omary Dioff, mwakilishi wa Taasisi ya Salama Foundation ameeleza kuwa wameshirikiana na shirika la TADEYO ili kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa akina mama waliopata mimba katika umri mdogo. Ameeleza kuwa Kakonko kuna kiwango kikubwa cha idadi ya mabinti waliopata mimba katika umri mdogo hivyo Wilaya inatakiwa kutazamwa kwa jicho la tatu kwani mabinti wanaolewa katika umri mdogo.

Aidha changamoto hiyo ya kupata mimba katika umri mdogo insababishwa na watu wazima na mabinti wenyewe kukubali kujiingiza mkatika masuala ya ngono hivyo kutoa rai kwa jamii kutoa ushirikiano na kuahidi kutafuta wadau zaidi ili kuongeza watoa huduma.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - WAKUSANYA MAPATO January 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. June 18, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA YA WAOMBAJI NAFASI YA UKUSANYAJI MAPATO WALIOITWA KWENYE USAILI January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA VITENDO - WAOMBAJI KAZI YA DEREVA II November 17, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WASISITIZWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI.

    April 29, 2025
  • UANZISHWAJI WA MFUMO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE WATAJWA KUWA CHACHU KATIKA UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA KIUTENDAJI..

    April 17, 2025
  • JIMBO LA BUYUNGU LABADILISHWA JINA NA KUITWA JIMBO LA KAKONKO.

    March 13, 2025
  • MHE.KAMAMBA AWAKUMBUSHA WATUMISHI KUWEKEZA KATIKA KILIMO NA BIASHARA PAMOJA NA KUJIENDELEZA KIELIMU.

    March 03, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkurugenzi afafanua mikakati ya kuendeleza zao la parachichi ikiwemo kugawa mashamba kwa wananchi.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Ukaguzi wa Miradi Kakonko
  • Lori jipya la Halmashauri laongeza kasi ya utekelezaji Miradi ikiwemo mradi wa Ufyatuaji tofali
  • TASAF kuibua ajira Kakonko
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko - FACEBOOK account
  • Habari motomoto za magazeti kila siku
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO- INSTAGRAM ACCOUNT
  • WANAFUNZI WILAYA YA KAKONKO WALIOPANGIWA SHULE KIDATO CHA KWANZA
  • MATOKEO YA WANAFUNZI WA DARASA LA NNE WILAYA YA KAKONKO 2022

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko
  • Bunge la Tanzania
  • kakonko tv
  • Mapinduzi sekta ya elimu Kakonko
  • halmashauri ya wilaya ya kakonko - habari na mawasiliano
  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA 2 MWAKA 2022

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: +255(028) 2988881

    Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa