Imetumwa: November 20th, 2025
Shirika la REDESO kwa kushirikiana na Wataalam wa kamati ya Usimamizi wa maafa wa Halmashauri wamefanya kikao wakilenga kuimarisha utayari wa Wilaya kukabiliana na maafa ili kuhakikisha ja...
Imetumwa: November 19th, 2025
Timu ya Ufuatiliaji na Tathmini ya Halmashauri, ikiongozwa na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini, Festo Basugoya, imetembelea miradi ya maendeleo katika sekta ya Elimu na Afya kwa lengo...
Imetumwa: July 31st, 2025
Mkuu wa Wilaya Kakonko kanali Evance Mallasa amewataka Wananchi kupitia Serikali za Vijiji kutenga maeneo kwa ajili ya uwekezaji na kilimo cha kibiashara kwa lengo la kukuza Uchumi wa eneo husik...