Imetumwa: May 17th, 2023
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Aggrey John Magwaza ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo ameyahimiza Mashirika yasiyo ya kiserikali kutoa huduma kwa kuzingatia misingi na maadili ya kitanzania.
...
Imetumwa: May 12th, 2023
Wataalamu wa Afya wemetoa Elimu kwa wananchi wa Kata ya Kanyonza na kuwasisitiza wananchi juu ya utunzaji wa mazingira na kuzingatia matumizi ya vyoo bora kwani itawasaidia kulinda vyanzo vya ma...
Imetumwa: May 9th, 2023
Mheshimiwa Aloyce John Kamamba Mbunge wa Jimbo la Buyungu kupitia fedha za Mfuko wa Jimbo la Buyungu amechangia mifuko 100 ya saruji yenye thamani ya Tshs. 5,000,000/= (Milioni Tano) kwa ajili ya ukar...