Imetumwa: May 9th, 2023
MFUKO WA JIMBO WACHANGIA MILIONI 18 KUJENGA SOKO HILO.
Wakazi wa Kijiji cha Nyamtukuza Kata ya Nyamtukuza kilichopo tarafa ya Nyaronga wameeleza kuwa kukosekana kwa soko kumewasababishia adha ...
Imetumwa: May 8th, 2023
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilayani Kakonko kupitia program ya TAKURURU rafiki imeanza kutatua kero za Wananchi ikiwemo kero ya maji katika kata tatu za Kanyonza, Gwa...
Imetumwa: May 5th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Evance Mallasa amewataka Wasimamizi wa Miradi kusimamia miradi kwa weledi kwa kufuata kanuni na sheria ili kuepuka adha ambazo zinaweza sababishwa na usimamiz...