Imetumwa: March 30th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Evance Mallasa amewasisitiza Wananchi kutoa taarifa mapema kwa viongozi wa kata pindi wanapofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii ili kudhibiti vitendo ...
Imetumwa: March 28th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Evance Mallasa ameahidi kuchukua hatua kwa wakulima wanaochanganya zao la pamba na mazao mengine na kuagiza apatiwe orodha ya watu waliochanganya mazao.
Aidha ameagiza...
Imetumwa: March 22nd, 2023
Kitengo cha Ustawi wa Jamii, na viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Kakonko wametembea kituo cha kulea Watoto yatima Kabare katika kata ya Gwarama na kutoa zawadi mbalimbali.
Wakiongozw...