Imetumwa: December 2nd, 2022
Mkuu wa Mkoa Kigoma Mhe.Thobias Andengenye amewasisitiza Wananchi Mkoani Kigoma kujitokeza kupima Afya zao mara kwa mara, na wanapogundua wana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI wasisite kufika ...
Imetumwa: November 25th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Evance Mallasa amewasisitiza Wananchi wa Wilaya ya Kakonko kuepuka vitendo vya ukataji wa miti ovyo bila kufuata taratibu zilizowekwa na Serikali ikiwemo uchomaj...
Imetumwa: November 23rd, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Evance Mallasa amewahimiza Wananchi kutenga maeneo ya kupanda miti kama hifadhi ya misitu na kuitunza ili kuwa chanzo cha mapato kwa Kijiji na Wananchi kwa ujumla.
...