Imetumwa: November 6th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko Ndaki S.Mhuli anaungana na Watanzania wote kuomboleza vifo vya waliopoteza maisha katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea ziwa Victori...
Imetumwa: November 5th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col. Evance M. Mallasa amezindua mpango mkakati wa unawaji mikono na na kusisitiza huduma za kunawa ziwekwe maeneo yote yenye mikusanyiko ya watu.
“Huduma za kunawa ...
Imetumwa: October 25th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Evance Mallasa amewataka wahitimu 134 waliofuzu mafunzo ya mgambo kwa mwaka 2022 kutumia mafunzo hayo kwa manufaa ya nchi na kujiepusha na vitendo vya uhalifu.
...