Imetumwa: October 17th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko kanali Evance Mallasa akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko Ndugu Ndaki Mhuri Hundi ya fedha za Kitanzania Millioni Mia Saba na Sitini (Tsh. 760...
Imetumwa: October 17th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imepokea kiasi cha fedha za kitanzania Millioni Mia Saba na Sitini (Tsh. 760,000,000/=) kutoka Serikali kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais...
Imetumwa: October 5th, 2022
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa 2022 zimefanyika Wilayani Kakonko tarehe 05 Oktoba, 2022 na kutembelea miradi 06 yenye thamani ya Tshs. 1,198,752,565.00.
Akitoa taarifa kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge w...