Imetumwa: September 24th, 2022
Wananchi wa Wilaya ya Kakonko wataanza kunufaika na huduma ya Afya ya dharura kufuatia kukamilika kwa jengo la dharura (EMD) lililojengwa katika hospitali ya Wilaya ya Kakonko iliopo Eneo la Itumbiko ...
Imetumwa: September 18th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye kwa kushirikiana na kamati ya Usalama ya Mkoa amefanya ziara Wilayani Kakonko na kukagua jumla ya miradi 6 itakayotembelewa na Mwenge wa uhuru tarehe...
Imetumwa: July 31st, 2022
Balozi wa Pamba Tanzania Aggrey Mwanri amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Evance Mallasa kufuatilia kampuni iliyonunua kwa mkopo tani 9 za pamba katika Chama cha Ushirika Kanyonza (AMCOS) ili fe...