Imetumwa: June 8th, 2018
Mikataba 3 ya Miradi ya maji yenye thamani ya bilioni 1,573,000,000 imesainiwa na kupangwa kutekelezwa katika kipindi cha miezi 6 Wilayani Kakonko.
Kaimu mhandisi wa maji, Matwiga Vi...
Imetumwa: April 20th, 2018
Mwenge wa Uhuru umezindua na kutembelea miradi 5 yenye thamani ya shilingi 552,199,651.00 Wilayani Kakonko Aprili 16 mwaka huu.
Akizungumza wakati anakabidhi mwenge wa Uhuru Wilayani Kibondo Mkuu w...
Imetumwa: March 1st, 2018
Baraza la madiwani Wilayani Kakonko limekataa kupokea miradi ya maji wa Vijiji 4 uliokuwa ukitekelezwa tangu mwaka 2012 na kumuondolea majukumu mkuu wa Idara ya maji kupisha uchunguzi katika kikao cha...