Imetumwa: February 21st, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Hosea Ndagala amekabidhi mabati 280 kwa wastaafu 14 kwa niaba ya kamati tendaji ya chama cha waalimu wilaya ya Kakonko (CWT) kwa mara ya kwanza tangu chama hicho kuanzish...
Imetumwa: November 1st, 2017
Mkurugenzi wa program ya afya kutoka CCT (Christian Council of Tanzania) Bi.Clotilda Ndezi ametoa wito kwa Halmashauri, wafadhili na wadau mbalimbali kutumia watoa huduma waliopo Vijijini kupata takwi...
Imetumwa: October 12th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga amewahimiza wakulima wa pamba Wilayani Kakonko kulima pamba kwa ubora na kuimarisha ushirika ili kuongeza uchumi kwa kila mtu. Akifany...