Imetumwa: October 3rd, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Jimbo la Buyungu, Ndaki Stephano Mhuli amefanya kikao na wazee maarufu 19 kutoka kata 13 za Wilaya ya Kakonko kuwapitisha katika mambo muhimu ya uchaguzi na ...
Imetumwa: October 1st, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Jimbo la Buyungu Ndaki Stephano Mhuli leo Jumanne Oktoba 1, 2024 amekutana na Viongozi wa kamati ya maridhiano ya dini mbalimbali na viongozi wa Vyama vya si...
Imetumwa: September 21st, 2024
Watanzania wametakiwa kudumisha Amani, upendo na mshikamano wa kitaifa kama njia mojawapo ya kujiletea Maendeleo.
Wito huo umetolewa na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Godfrey Mzava wak...